Breaking News

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATESH MKOANI MANYARA WAKATI AKIELEKEA MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Katesh mara baada ya kuwasili eneo hilo Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Katesh Mkoani Manyara wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katesh Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katesh Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.
 

0 Maoni

banner
banner
banner
banner

Type and hit Enter to search

Close